Mkutano Mkubwa Wa Injili Mkoani Tabora 
Mkutano Mkubwa Wa Injili Mkoani Tabora utakoa Ongozwa na Mtume na Nabii JOSEPHAT E. MWINYIGIRA.
Katika viwanja vya SHULE YA SEKONDARI UYUI
Tarehe 19-22 JULAI 2023
Saa : 9:00 Jioni