Mfumo sahihi wa kujenga au kuwa mahusiano imara na bora ni kujitambua wewe ni nani na unahitaji mtu wa namna gani wa kuwa nae kwenye mahusiano yako,kumbuka kama utakuwa hujitambui basi hutoweza kumtambua hata huyo unae taka kuingia nae kwenye mahusiano yako ya kimapenzi.
Blog hii ina mkusanyiko wa simulizi, ikijumuisha pia simulizi za watu wazima zenye maneno makali.
Thibitisha kama una umri wa zaidi ya miaka 18 ili kuendelea.
0 Comments