Usiichukulie poa ndoa yako nayo itakuchukulia poa,ukiiheshimu ndoa yako nayo itakuheshimu,jifunze kuipa thamani ndoa yako.