"Kama TATIZO lako ni PESA tu. Basi Mshukuru sana Mungu kwani kuna wenzako Wanamatatizo Ambayo Hata Pesa Haiwezi Kusaidia"